latest media about #info2018 hashtag


Popular Post

infos_2018 @Thu 22 Feb 2018


Trending: 22 February (Written by: @ergonelly) Mtayarishaji na Muimbaji wa muziki kutokea katika studio za Switch Records, S2kizzy amesema kuwa kabla ya mwaka kuisha lazima aitambulishe Record label yake. - "Unajua napenda kutoa fursa pia kwa vijana wenzangu wenye vipaji na uwezo wa hali ya juu ili ku-push muziki wetu kwenda mbali zaidi, sasa kabla ya mwaka huu kuisha nitaitambulisha Record label yangu"  alisema S2kizzy alipokiambia kipindi cha Top Hits cha Dream Fm kinachoongozwa na Mtangazaji Ergon Elly. New Vibe Gang (NVG) ndilo jina la Record Label hiyo ambayo hajaweka wazi itajumuisha wasanii wangapi na jinsia gani. S2kizzy kwasasa amekuwa akisikika kwenye baadhi ya ngoma kama msanii wa kushirikishwa ikiwemo "Tosamaganga ya Switcher Baba, Hesabu ya rapa Nikki wa Pili. #info2018

#info2018
Popular Post

jne_ayanismd @Thu 22 Feb 2018


Update: Untuk kiriman Bawang Tiwai / Bawang Dayak memerlukan Surat Karantina. 💌 Pengurusan bisa dilakukan di Jl.PM Noor, depan pintu masuk Stadion 🏢 #bawangdayak #bawangtiwai #bawangkalimantan #suratkarantina #wajibtahu #jne #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jasapengirimansamarinda #jneindonesia #jasapengirimanbarang #jasapengirimandokumen #jasapengirimanterbaik #jneconnectinghappiness #infosamarindagram #infojne #info2018 #samarinda2018 #jne2018

#infosamarindagram #jnesamarinda #jasapengirimanterbaik #jne #jasapengirimandokumen #bawangtiwai #jneindonesia #infojne #samarinda2018 #agenjnesamarinda #jasapengirimansamarinda #agenjne #jneconnectinghappiness #info2018 #jne2018 #wajibtahu #bawangdayak #suratkarantina #jasapengirimanbarang #bawangkalimantan
Popular Post

jne_ayanismd @Thu 22 Feb 2018


🐠🐢🐍🐥🐇🐈🐩 Syarat dan Surcharge Kiriman Hewan Hidup= Min.10kg + 100% , kemasan sesuai kondisi dari pengirim, wajib melampirkan surat karantina💌 #kirimhewan #kirimhewankilat #hewanpeliharaan #kirimbinatang #wajibtahu #jne #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jasapengirimansamarinda #jneindonesia #jasapengirimanbarang #jasapengirimandokumen #jasapengirimanterbaik #jneconnectinghappiness #infosamarindagram #infojne #info2018 #samarinda2018 #jne2018

#infosamarindagram #jnesamarinda #jasapengirimanterbaik #jne #jasapengirimandokumen #kirimbinatang #jneindonesia #hewanpeliharaan #infojne #samarinda2018 #kirimhewan #agenjnesamarinda #jasapengirimansamarinda #agenjne #jneconnectinghappiness #info2018 #kirimhewankilat #wajibtahu #jne2018 #jasapengirimanbarang
Popular Post

jne_ayanismd @Thu 22 Feb 2018


🌵🌼🏵🌻🌸🌹🌺🌲 Syarat dan Surcharge Kiriman untuk Tanaman Hidup 💐 dan bibit🌻= Min.10kg + 50%, Kemasan Sesuai Kondisi/Sesuai packingan dari pengirim, dan melampirkan Surat Karantina.🍀 #kirimtanaman #tanamanhidup #kirimbibit #bibittanaman #infotanaman #jne #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jasapengirimansamarinda #jneindonesia #jasapengirimanbarang #jasapengirimandokumen #jasapengirimanterbaik #jneconnectinghappiness #infosamarindagram #infojne #info2018 #samarinda2018 #jne2018

#tanamanhidup #infosamarindagram #kirimtanaman #jnesamarinda #jasapengirimanterbaik #jne #jasapengirimandokumen #jneindonesia #infojne #samarinda2018 #bibittanaman #agenjnesamarinda #jasapengirimansamarinda #agenjne #jneconnectinghappiness #info2018 #infotanaman #jne2018 #jasapengirimanbarang #kirimbibit
Popular Post

infos_2018 @Wed 21 Feb 2018


Trending: 21 February Mrembo wa viwango vyote, Karrueche Tran, hatimaye ameweka wazi mahusiano yake na kwamba kwa sasa ana-date na Mchezaji wa NFL, Victor Cruz. Ex huyo wa Chris Brown, alivunja ukimya huo kupitia mahojiano na jarida la Ebony, ambapo baada ya kuulizwa mbona yupo karibu sana na #VictorCruz au mna-date? #Karrueche alijibu, "Yeah" - Penzi lao bado lipo chini sana ya kapeti, Karrueche alitusanua pia maana ya kufanya hivyo: Ni kuwa bado anatumia muda wake kumsoma mshkaji, lakini ni mtu mzuri sana, - "We’ve been hanging out and getting to know one another. My main priority is always work, but he’s a gentleman. He’s a sweet guy and he’s really nice. We’re taking it slow, but yes!”- alimaliza Karrueche. #info2018

#info2018 #karrueche #victorcruz
Popular Post

jne_ayanismd @Wed 21 Feb 2018


#jne #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jasapengirimansamarinda #jneindonesia #jasapengirimanbarang #jasapengirimandokumen #jasapengirimanterbaik #jneconnectinghappiness #infosamarindagram #infojne #info2018 #samarinda2018 #jne2018

#agenjnesamarinda #jasapengirimansamarinda #agenjne #jneconnectinghappiness #infosamarindagram #jnesamarinda #info2018 #jasapengirimanterbaik #jne2018 #jne #jasapengirimandokumen #jneindonesia #infojne #jasapengirimanbarang #samarinda2018
Popular Post

jne_ayanismd @Wed 21 Feb 2018


#kodeposindonesia #wajibtahu #nomortelepon #kodepos #jneyes #jneyeskilat #jne #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jasapengirimansamarinda #jneindonesia #jasapengirimanbarang #jasapengirimandokumen #jasapengirimanterbaik #infosamarindagram #infojne #info2018 #samarinda2018 #jne2018

#infosamarindagram #jnesamarinda #kodepos #jasapengirimanterbaik #jne #jasapengirimandokumen #jneindonesia #infojne #nomortelepon #samarinda2018 #agenjnesamarinda #jasapengirimansamarinda #agenjne #jneyes #info2018 #jne2018 #wajibtahu #jneyeskilat #jasapengirimanbarang #kodeposindonesia
Popular Post

infos_2018 @Tue 20 Feb 2018


Trending: 20 February Mechie, ambaye ni Ex boyfriend wa Blac Chyna, amekiri kuhusika kwenye ile kanda ya ngono iliyovuja jana, na amekasirishwa na kitendo hicho. Kijana huyo ambaye alim-date #Chyna kwa miezi miwili tu, amesema kuwa Video hiyo waliirekodi mwezi Julai mwaka jana, na yeye ndiye alirekodi kwa kutumia simu ya Blac Chyna. Hivyo kwa kilichotokea jana, #Mechie amekasirishwa nacho na kutupa lawama kwa Chyna, ukizingatia hakuwa na nakala yoyote ya video hiyo. #info2018

#info2018 #chyna #mechie
Popular Post

infos_2018 @Tue 20 Feb 2018


Trending: 20 February Mkali wa miondoko ya muziki wa Trap nchini Chinbees amesema album yake itapatikana bure. - "Unajua nipo katika hatua za mwisho zakuachia albam yangu yenye jumla ya nyimbo 10 na itapatikana bure kabisa, nimefanya hivi kwasababu watu wangu wanapenda kusikiliza muziki wangu ila kwa itakayofuata (ya pili) itauzwa"- alisema Chin Bees. Akipiga stori kwenye Fresh Beatz ya Dream Fm na Ergon Elly, Staa huyo wa 'Pepeta' amesema kuwa albam hii inatoka mwezi huu wa Februari kabla haujaisha na ana amini kuwa itakuwa ni albam bora ya trap kuwahitokea bongo. - "Naachia nyimbo 10 ambazo hazikuwahi kusikika mahali popote na utasikika muziki wa trap tu, pia naushukuru uongozi wangu "Wanene Entertainment" kwa kulifanikisha hili" alisema chin bees. #info2018

#info2018
Popular Post

infos_2018 @Tue 20 Feb 2018


Baada ya kuwepo na tetesi nyingi, uvumi wa hapa na pale kuhusu penzi la #Birdman na Toni Braxton... Kuhusu kuvishana pete ya uchumba, wengine walisema wamefunga ndoa ya siri, Sasa Mwanadada Toni Braxton ameweka wazi ukweli wote. Kupitia trailer ya msimu mpya wa kipindi cha 'Braxton Family Values' Toni alithibitisha kuvishwa Pete ya uchumba na CEO wa Cash Money, Birdman. "I have an announcement to make. I'm engaged"- alisema #ToniBraxton. #info2018

#info2018 #birdman #tonibraxton
Popular Post

infos_2018 @Tue 20 Feb 2018


Trending: 20 February Baada ya mkanda wa ngono unaomuhusisha Blac Chyna kuvuja jana Jumatatu, Mwanadada huyo kalifikisha suala hilo mikononi mwa polisi. Mwanasheria wa Chyna, Walter Mosley ameiambia TMZ kuwa, kuachiwa kwa mkanda huo ni 'Jambo la Jinai' hivyo wamefilikisha polisi kwa uchunguzi zaidi. Kwenye video hiyo, #Chyna alionekana akifanya mapenzi na Mwanaume ambaye uso wake haukuweza kuonekana. Hii sio mara ya kwanza kwa Blac Chyna (29) kukumbana na maswahibu hayo, Utakumbuka mwaka jana alichokifanya Baba mtoto wake, Rob Kardashian alipoachia picha na video zake chafu kwenye mitandao ya kijamii. #info2018

#info2018 #chyna
Popular Post

jne_ayanismd @Tue 20 Feb 2018


#agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jasapengirimansamarinda #jneindonesia #jasapengirimanbarang #jasapengirimandokumen #jasapengirimanterbaik #infosamarindagram #info2018 #kalender2018 #event2018 #eventnasional #kalendernasional #samarinda2018 #jne2018 #februari2018 #febuary2018 #indonesianevent #eventindonesia

#infosamarindagram #februari2018 #jnesamarinda #jasapengirimanterbaik #indonesianevent #kalender2018 #jasapengirimandokumen #jneindonesia #event2018 #febuary2018 #eventindonesia #samarinda2018 #agenjnesamarinda #jasapengirimansamarinda #agenjne #info2018 #jne2018 #jasapengirimanbarang #eventnasional #kalendernasional
Popular Post

jne_ayanismd @Tue 20 Feb 2018


Bagi pelanggan yang membawa dokumen, tidak perlu khawatir karena kami menyiapkan flyer khusus untuk dokumen-dokumen anda Bagi pelanggan yang membawa paket ukuran kecil - besar juga bisa request di Agen JNE A.Yani untuk packing plastik 👍 #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jneindonesia #infojne #requestpackaging #pengirimanjne #pengirimanbarang #jne #jneindonesia #jne2018 #infopaket #info2018 #noworrybehappy #infosamarindagram #infosamarinda #samarinda2018 #samarinda #jneconnectinghappiness #packing

#infosamarindagram #jnesamarinda #pengirimanjne #infosamarinda #jne #jneindonesia #infojne #noworrybehappy #samarinda2018 #agenjnesamarinda #agenjne #jneconnectinghappiness #samarinda #info2018 #jne2018 #infopaket #packing #pengirimanbarang #requestpackaging
Popular Post

jne_ayanismd @Tue 20 Feb 2018


Bagi pelanggan yang membawa dokumen, tidak perlu khawatir karena kami menyiapkan flyer khusus untuk dokumen-dokumen anda Bagi pelanggan yang membawa paket ukuran kecil - besar juga bisa request di Agen JNE A.Yani untuk packing plastik 👍 #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jneindonesia #infojne #requestpackaging #pengirimanjne #pengirimanbarang #jne #jneindonesia #jne2018 #infopaket #info2018 #noworrybehappy #infosamarindagram #infosamarinda #samarinda2018 #samarinda #jneconnectinghappiness #packing

#infosamarindagram #jnesamarinda #pengirimanjne #infosamarinda #jne #jneindonesia #infojne #noworrybehappy #samarinda2018 #agenjnesamarinda #agenjne #jneconnectinghappiness #samarinda #info2018 #jne2018 #infopaket #packing #pengirimanbarang #requestpackaging
Popular Post

jne_ayanismd @Wed 14 Feb 2018


Bagi pelanggan yang membawa dokumen, tidak perlu khawatir karena kami menyiapkan flyer khusus untuk dokumen-dokumen anda Bagi pelanggan yang membawa paket ukuran kecil - besar juga bisa request di Agen JNE A.Yani untuk packing plastik 👍 #agenjne #agenjnesamarinda #jnesamarinda #jneindonesia #infojne #requestpackaging #pengirimanjne #pengirimanbarang #jne #jneindonesia #jne2018 #infopaket #info2018 #noworrybehappy #infosamarindagram #infosamarinda #samarinda2018 #samarinda #jneconnectinghappiness #packing

#infosamarindagram #jnesamarinda #pengirimanjne #infosamarinda #jne #jneindonesia #infojne #noworrybehappy #samarinda2018 #agenjnesamarinda #agenjne #jneconnectinghappiness #samarinda #info2018 #jne2018 #infopaket #packing #pengirimanbarang #requestpackaging
Popular Post

infos_2018 @Mon 19 Feb 2018


Trending: 19 February (Written By: @ergonelly) Rapa Nikki wa Pili amesema wimbo ambao ulivuja 2017 wa weusi "Nijue" waliomshirikisha mkali wa muziki wa dansi Christian Bella, upo tayari kuachiwa baada ya kuurudia, - "Awali wimbo huu ulitoka kimakosa na ndio maana hukusikia verse yangu (Nikki), Tulichokifanya ni kuurudia kila kitu na tayari tunayo video mkononi tunategemea kati ya wiki hii tutaiachia"  alikiambia kipindi cha Top Hitz cha Dream Fm - Mbeya kinachoongozwa na Mtangazaji Ergon Elly. Kuhusu hatua waliyofikia kabla ya kuachia albam yao (weusi) nikki wa pili amesema Rapa Joh Makini yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na kampuni ya Max Burudani ambayo itahusika katika kuziuza albam zao (Joh Makini, G Nako, Nikki wa pili pamoja na ile ya kampuni yaani Weusi) - Rapa Nikki wa Pili sasa hivi anafanya vizuri na wimbo wake "Hesabu" aliowshirikisha Joh Makini na muandaaji wa muziki kutoka switch records s2kizy. #info2018 @nikkwapili

#info2018